Jumatatu, 5 Desemba 2016

TANZANIA YAJIPANGA KUSHIRIKIANA MAURITIUS KATIKA SEKTA YA MIUNDOMBINU

Posted by Esta Malibiche on Dec 5,2016 in NEWS



lemu1
Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Mauritius Bw. Santaram BABOO, akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Tanzania, Prof. Makame Mbarawa alipomtembelea ofisini kwake jijiin Dar es Salaam.
lemu2
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Tanzania, Prof. Makame Mbarawa, akifafanua jambo kwa Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Mauritius Bw. Santaram BABOO, walipokutana kwa majadiliano  kuhusu ushirikiano baina ya Wizara zao, jijini Dar es Salaam.
lemu3
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Tanzania, Prof. Makame Mbarawa (wa nne kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka nchini Mauritius, wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa na Utamaduni wa Mauritius, Dkt. Nalimi LUCKHEENARAIN, na wa tatu kushoto ni  Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Mauritius Bw. Santaram BABOO

0 maoni:

Chapisha Maoni