Jumatatu, 19 Desemba 2016

RC IRINGA AWATAKIA WANANCHI HERI YA NOELI NA MWAKA MPYA 2017

Posted by Esta Malibiche on Dec 19,2016 in NEWS

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Juma Masenza akiongea na wananchi wa Mkoa wa Iringa kupitia vyombo vya habari kwa kuwatakia heri katika sherehe za Noeli na Mwaka Mpya 2017 leo ofisini kwake. 
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amani Juma Masenza akiongea na wananchi wa Mkoa wa Iringa kupitia vyombo vya habari kwa kuwatakia heri katika sherehe za Noeli na Mwaka Mpya 2017 leo ofisini kwake.    



0 maoni:

Chapisha Maoni