Posted by Esta Malibiche on Dec 8,2016 in NEWS
Balozi wa Hispania nchini
Tanzania Bw. Felix Costales (katikati), akijadiliana jambo na Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, alipomtembelea
ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi mdogo wa nchi hiyo
jijini Nairobi, Bi. Rocio Kessier.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia), akisisitiza jambo kwa Balozi
wa Hispania nchini Tanzania Bw. Felix Costales, wakati alipomtembelea
ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi mdogo wa nchi hiyo
jijini Nairobi, Bi. Rocio Kessier.
Balozi mdogo wa nchi hiyo jijini
Nairobi, Bi. Rocio Kessier (kushoto), akifafanua jambo kwa Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa walipokutana
ofisini kwake jijini Dar es salaam.
0 maoni:
Chapisha Maoni