Posted by Esta Malibiche on Dec 22,2016 in SIASA
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa
Ndg:Shaka Hamdu Shaka wa Tatu Kulia akigawa Vifaa Vya Ujenzi Vilivyo
tolewa kwa Hisani ya Kanisa la Anglican Dayosisi ya Kagera usharika wa
Karagwe kwa Familia nane Maskini zilizo kubwa na Tetemeko.
Kaimu Katibu Mkuu Shaka Hamdu Shaka akigawa kadi kwa Mmoja kati ya Wanachama Wapya 173 Wilayani Kyerwa Mkoa wa Kagera
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa
Shaka Hamdu Shaka akipokea Salaam za Shukrani Kwa niaba ya Rais kwa
mama MjaneAGRIPINA ANGERO ambaye alie jengewa Nyumba Mpya na Ya kisasa
na Mhe : Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe
Magufuri.
:Eneo la Nyumba ya Nyumba Mpya na
Ya Mama MjaneAGRIPINA ANGERO kisasa na Mhe: Rais wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuri iliyopo katika Kijiji cha
Kayanga Wilayani Karagwe.
Mkuu wa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe
Godfrey Ayub Mheluka Mwenye Suti Nyeusi akiagana na kaimu katibu Mkuu
Shaka Mara baada ya Kumfikisha Wilayani Kielwa
Ukaguzi Wa Utekelezaji wa ilani
Wilayani Kielwa ulimfikisha Kaimu katibu mkuu uvccm taifa Ndg Shaka H
Shaka kuona pia ujenzi wa barabara ya Nkwenda-Mabira yenye urefu wa Km
31 iliyogharimu Tsh bil 2.
Kaimu Katibu Mkuu Shaka Hamdu
Shaka akiambatana na Mkuu wa wilayaMeja Jenerali mstaafu Salum Kijuu na
Viongozi Mbali mbali wa Chama na Serikali akikagua Ujenzi wa Nyumba ya
Mkuu wa Wiliya iliyopo katika kijiji cha Rubwera Kagenyi Wilayani
Kielwa.
0 maoni:
Chapisha Maoni