Ijumaa, 9 Desemba 2016

HERI KWA WATANZANIA, KWA KUSHEREKEA MIAKA 55 YA UHURU WA TANZANIA

Posted by Esta Malibiche on Dec 9,2016


 
Mtandao huu wa Habari[Blog ya KALI YA HABARI]unaungana na Watanzania wote kusherekea miaka 55 ya uhuru wa Taifa letu..Miaka 55 ya uhuru wa Tanzania  tumeshuhudia mengi mazuri yakifanyika,ikiwa nipamoja na kudumisha Amani na Utulivu ndani ya Nchi yetu.Mtandao hu wa Habari unawatakia kila la Heri katika sherehe za Uhuru 2016,tuzidi kudumisha amani na utulivu tuliyonayo ndani ya  Nchi yetu ili Taifa liweze kusonga Mbele.Mungu Ibariki Tanzania,Mungu wabariki Watanzania.

0 maoni:

Chapisha Maoni