Posted by Esta Malibiche on Dec 19,2016 in SIASA
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa
Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akiwasili katika Kijiji Cha BENACO Wilayani
Ngara, Shaka yupo kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi
ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM 2015_2020
Mwenyekiti
wa uvccm Mkoa wa Kagera Bw. Yahya Kateme akizungumza kumkaribisha Ndg:
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka Kuzungumza na Wajumbe wa
Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM Wilayani Ngara.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)akizungumza na
Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM
Wilayani Ngara Katika Kikao Cha Ndani Kilicho Fanyika katika Ukumbi wa
Engubenako Wilayani Ngara.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza
na Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM
Wilayani Ngara Katika Kikao Cha Ndani Kilicho Fanyika katika Ukumbi wa
Engubenako Wilayani Ngara
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka
(MNEC) akizindua Mradi wa kikundi cha Vijana wajasiliamali cha Ufugaji
wa Nyuki na Shamba la Upandaji wa Miti katika kijiji cha Nyaruku
Wilayani Ngara.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)
akikagua Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini katika kijiji cha
Nyankenda ikiwa ni Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015_2020
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)
akikagua Ukamilishaji wa Agizo la Utengenezaji wa Madawati katika
Shule ya Msingi Rulenge Jinsi lilivyo Kamilika kama alivyotoa agizo
Mhe:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)
akikagua eneo la Shamba la kikundi cha Mpaji ni Mungu Youth group
kinacho jishughulisha na Ufugaji wa Nyuki na Ulimaji wa Mazao Mbali
mbali ya Chakula
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)
akionyeshwa Bidhaa mbali mbali zinazo zalishwa na kikundi cha Mpaji ni
Mungu Youth group
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)
akimkabidhi mmoja kati ya Wazee 25 waliopokea Vyeti Vya Matibabu ya bure
kwa wazee katika kijiji cha kijiji cha Mumiramila Wilayani Ngara.
Mwandishi wa Gazeti la Uhuru Bw.Antari Sangali pamoja na
wazee wakijiji cha Mumilamila Wilayani Ngara wakimsikiliza kwa makini
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)alipo kua akigawa
Vyeti kwaajili ya Matibabu ya Bure kwa wazee.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) alipo
zindua Mradi wa Shamba la Uvccm wilayani Ngara kwa ajili ya Shughuli
Mbali mbali za kilimo kwa Vijana Wilayani humo ikiwa ni Utekelezaji wa
agizo lake alilotoa kwa Makatibu wote kuandaa miradi Mbali mbali ili
kukwamua Vijana kiuchumi kama kauli Mbiu yake isemayo” SIASA NA UCHUMI
0 maoni:
Chapisha Maoni