Posted by Esta Malibiche on Dec5,2016 in NEWS
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Mto wa Mbu wilayani Monduli akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwa ameshika ngao na Mkuki alivypewa na Mzee wa Mila wa kabila la
Wamasai, Laibon Meshuko Ole Mapii (kulia) kabla ya kuwahutubia wananchi
kwenye shule ya msingi ya Laibon iliyojengwa na Laibon Ole mapii na
kukabidhiwa kwa serikali. Alikuwa katika ziara ya wilaya ya Monduli
Desemba 4, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri wa Maliasili
na Utalii, Profesa, Jumanne Maghembe, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho
Gambo, na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Arusha, Lekule Laiza. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utlii, Profes Jumanne Maghembe
baada ya kuwahutubia wananchi kwenye shule ya msingi ya Laibon wilayani
Monduli Desemba 4, 2016. Katikati ni Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho
Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mzee wa mila wa Kabila la Wamasai, Laibon Meshuku Ole-
Mapii kabla ya kuzungumza na wananchi kwenye shule ya Misingi ya Laibon
iliyojengwa na Ole- Mapii na kukabidhiwa kwa serikala. Alikuwa katika
ziara ya wilaya ya Monduli Desemba 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Baadhi ya wananchi wa Mto wa Mbu
wilayani Monduli wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo akiwa katika ziara
wilayani humo Desemba 4, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchi wa Mto wa Mbu
wilayani Monduli wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo akiwa katika ziara
wilayani humo Desemba 4, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Mto wa Mbu wilayani
Monduli akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 4, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na wazee wa Kimasai wakati alipowasili kwenye shule ya
Msingi ya Laibon wilayani Monduli kuzungumza na wananchi akiwa katika
ziara ya wilaya ya Monduli, Desemba 4, 2016. (picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
0 maoni:
Chapisha Maoni