Jumapili, 4 Desemba 2016

RAIS DKT SHEIN ATEMBELEA KIJIJI CHA MKONJONI KASKAZI UNGUJA

Posted by Esta Malibiche on Dec 4,2016 in NEWS

1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili katika kijiji cha Mkonjoni Wilaya ya Kaskazini B Unguja kuangalia ujenzi wa Skuli ya Sekondari Kijijini hapo.
2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mfunzo ya Amali Maalim Abdalla Mzee wakati alipotembelea Ujenzi wa Skuli mpya ya Sekondari katika Kijiji cha  Mkonjoni Wilaya ya Kaskazini B Unguja kuangalia ujenzi wa Skuli ya hiyo.
3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Vuai Mwinyi Mohamed wakiangalia kisima kiliopo katika kijiji cha Mkonjoni Wilaya ya Kaskazini B Unguja ambacho Wananchi wakijiji hicho hujipatia huduma ya maji kwa matatizo makubwa na usumbufu.
6
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mkonjoni Jimbo la Kiwengwa Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Mkoa wa Kaskazini Unguja  alipofanya ziara maalum ya kutembelea Kijiji hicho pia kuangalia Ujenzi wa Skuli Mpya inayojengwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,
4
Vijana wa Kijiji cha Mkonjoni Jimbo la Kiwengwa ,Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Mkoa wa Kaskazini Unguja walipokuwa wakimakaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) mara alipowasili Kijijini hapo akiwa katika ziara maalum mbapo pia alipata nafasi ya nkuzungumza nao.
5
Wananchi wa Kijiji cha Mkonjoni Jimbo la Kiwengwa Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na wananchi hao alipofanya ziara maalum ya kutembelea Kijiji hicho pia kuangalia Ujenzi wa Skuli Mpya inayojengwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,
Picha na Ikulu.] 04/12/2016.

0 maoni:

Chapisha Maoni