Posted by Esta Malibiche on Dec 2,2016 in NEWS
Wakazi wa wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wenye migogoro ya ardhi wakimsikiliza Mh. William Lukuvi wakati akitatua migogoro yao ya ardhi. |
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi akipokelewa
kwa maandamano na mabango na mamia ya wananchi wa kata ya Nyarubanda
katika halmashauri ya wilaya ya Kigoma ambao kwa muda mrefu wamekuwa na
kero ya ardhi baada ya mmoja wa wakazi wa kijiji hicho kujimilikisha
eneo la serikali ya kijiji.
Wananchi
wa kata ya Nyarubanda wakimpeleka kumuonesha eneo la mgogoro Waziri wa
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi akiwa na Mbunge
wa Kigoma Vijijini Mhed. Peter Serukamba (mwenye shati jeupe).
Wakazi
wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wakiwa na nyaraka za migogoro ya
ardhi walizo zileta ili kumpatia Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi Mh. William Lukuvi aweze kuitatua migogoro yao.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi
akitatua migogoro ya ardhi ya wakazi wa Kasulu mara baada ya kupokea
malalamiko hayo.
Hassan I. Mabuye
Information Officer
The Ministry of Lands, Housingand Human Settlements Development
Dar es salaam, Tanzania
0 maoni:
Chapisha Maoni