Posted by Esta Malibiche on Dec 12,2016 in NEWS
Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustin SAUT, Padri, Dkt.Thadeus
Mkamwa (kushoto), akitoa taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo
hicho yatakayofanyika kwa siku mbili, Ijumaa Disemba 16 na Jumamosi
Disemba 17 mwaka huu chuoni hapo Malimbe Jijini Mwanza.
Kulia ni
Bernald James ambaye ni Mkuu wa Mawasiliano, Baraza la Maaskofu Katoliki
Tanzania.Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la
Mwanza Mhashamu Yuda Thadeus Rwaichi.
Wahitimu 2421
wa fani mbalimbali wanatarajiwa kutunukiwa vyeti, shahada, shahada za
uzamili na uzamivu katika mahafali hayo huku wanafunzi wanafunzi 746
wakishindwa kutunukiwa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutolipia
ada.
Mahafali hayo yatatanguliwa na Siku ya Jamii itakayofanyika Jumatano Disemba 14 ambapo kutakuwa na Maonesho ya Kitaaluma.
BMGHabari
Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustin SAUT, Padri, Dkt.Thadeus
Mkamwa (kushoto), akitoa taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo
hicho yatakayofanyika kwa siku mbili, Ijumaa Disemba 16 na Jumamosi
Disemba 17 mwaka huu chuoni hapo Malimbe Jijini Mwanza.
Bernald James ambaye ni Mkuu wa Mawasiliano, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.
Wanabaraza
la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya
18 ya chuo hicho yatakayofanyika kwa siku mbili, Ijumaa Disemba 16 na
Jumamosi Disemba 17 mwaka huu chuoni hapo Malimbe Jijini Mwanza.
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho
Wanahabari na wajumbe wa baraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho
Wahitimu
2421 wa fani mbalimbali wanatarajiwa kutunukiwa vyeti, shahada, shahada
za uzamili na uzamivu katika mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu
Augustine SAUT cha Jijini Mwanza.
Makamu
Mkuu wa chuo hicho Dkt.Thadeus Mkamwa amesema wahitimu hao wakiwemo
watatu wa shahada za uzamivu watatunukiwa shahada zao kwenye Mahafali
yatakayofanyika ijumaa na jumamosi wiki hii chuoni hapo.
Amesema
mahafali hayo ambayo mgeni rasmi atakuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki
la Mwanza Mhashamu Yuda Thadeus Rwaichi yatatanguliwa na Siku ya
Maonesho Kitaaluma yatakayohusisha wanafunzi na wahadhiri kutoka kila
kitivo na idara.
Hata
hivyo Dkt.Mkamwa amesema wanafunzi 746 wameshindwa kuhitimu masomo yao
kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kushindwa kulipa ada.(P.T)
0 maoni:
Chapisha Maoni