Ester Malibiche
Kali ya habari
Nyumbani
View post on imgur.com
Ijumaa, 2 Desemba 2016
KITISI FC MABINGWA SPANEST CUP 2016
00:37
No comments
Posted by Esta Malibiche on Dec 2,2016 in MICHEZO
KLABU ya Kitisi imeshinda Kombe la SPANEST linalodhaminiwa na Mradi wa Kuboresha Maeneo Yaliyohifadhiwa Kusini mwa Tanzania baada ya kuwashinda Kinyika FC kwa mikwaju ya penati 4-2.
Dakika 90 za mchezo huo uliopigwa katika uwanja maarufu wa Kimande Pawaga, Iringa Vijijini ulishuhudia wababe hao waliovuka vihunzi dhidi ya timu nyingine 22 zinazozunguka hifadhi ya Taifa ya Ruaha, wakitoka sara ya 1-1 mbele ya mashabiki waliokadiriwa kuwa zaidi ya 3,000.
Kwa ushindi huo, Kitisi FC iliondoka na kombe, medali za dhahabu, seti moja ya jezi, cheti na Sh Milioni moja taslimu huku wakiahidiwa kutembelea hifadhi ya Ruaha.
Watakapofanya ziara katika hifadhi hiyo, Kitisi FC watapata pia fursa ya kumenyana na timu kali ya waandishi wa habari wa mkoa wa Iringa inayoundwa na wachezaji mahiri 20.
Pamoja na kwamba Kinyika FC waliokuwa na matumaini makubwa ya kutwaa kombe hilo baada ya kuongoza kwa muda mrefu katika dakika 90 za mchezo, kulizwa kwa mikwaju ya penati, wameondoka na medali za shaba, cheti, mipira miwili na Sh 700,000 taslimu.
Nafasi ya tatu ya ligi hiyo ilikwenda kwa Itunundu FC, waliofanikiwa kumlaza kwa mabao 3-2 Mapogolo FC ambao pia walipata zawadi mbalimbali kutoka kwa waandaji wa mashindano hayo ya kila mwaka yanayolenga kuwaokoa Tembo dhidi ya majangili.
Akikabidhi zawadi kwa washindi, Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela aliahidi kusaidia kuyatafutiwa wadhamini zaidi kwa kuwa yana mchango mkubwa katika mapambano dhidi ya majangili.
Mratibu wa SPANEST inayoratibu mashindano hayo, Godwell Ole Meing’ataki alisema fainali ya ligi hiyo inalenga kuoa Tembo kwa kupitia kauli mbiu yake ya “Piga Vita Ujangili, Piga Mpira Okoa Tembo.”
Meing’ataki alisema wazo la kuunganisha vijana katika vita ya ujangili linaonekana kuwa njia muafaka ya kutokomeza ujangili kutokana na ukweli kwamba vijana ndiyo walengwa wakubwa katika kushawishika kuingia kwenye maeneo yaliyohifadhiwa na kufanya ujangili.
Timu ya Kitisi Fc ndio mabingwa wa kombe La spanest 2016 baada ya kuifungwa kwa penati timu ya Kinyika FC leo katika michezo wa fainali
Tuma Hii kwa Barua pepe
Blogu Hii!
Shiriki kwenye Twitter
Shiriki kwenye Facebook
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
0 maoni:
Chapisha Maoni
Music
Popular
Tags
Blog Archives
JAFO AAGIZA UJENZI WA MADARASA SHULE YA MSINGI MWANDEGE
Posted by Esta Malibiche ON Februari 6,2018 IN NEWS Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akizungumza na walim...
MADIWANI WA MANISPAA YA MOSHI WATEMBELEA OFISI ZA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA).
Posted by Esta Malibiche on JAN 18,2017 IN NEWS Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira m...
WANANCHI KITONGA WAANDAMANA KUPINGA UFUNGWAJI WA HOTELIHOTEL YA STARCOM
WANANCHI wa kijiji cha Mahenge wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wailalamikia Halmashauri ya wilaya ya Kilolo kwa kuifunga hoteli ya Sta...
MKUU WA MKOA WA IRINGA AMINA MASENZA AWAPONGEZA RDO KWA KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI MUFINDI NA KILOLO
Posted by Esta Malibiche on March 28,2018 IN NEWS Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Nan...
(kichwa hakijaongezwa)
mbunge wa Singida Kaskazin Bw Lazaro Nyalandu (kulia) akimpokea waziri wa Kilimo ,Mifugo na uvuvi Bw Mwigulu Nchemba alipofanya...
ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI LA IRINGA AWATAKA WAAMINI KULIOMBEA TAIFA
Posted by Esta Malibiche on April 1,2018 IN NEWS Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania na Askofu wa Jimbo la Iringa Mhashamu Baba...
FAHAMU FAIDA ZA KULA MATUNDA KWA UBORA WA AFYA YAKO
Postedy by Esta Malibiche on August 2016 Kuna faida nyingi za kula matunda licha ya kupenda ladha tamu za matunda tunayokula...
BRITAM YAADHIMISHA MIAKA 50 YA KUTOA BIMA
Posted by Esta Malibiche on Aiugust 7.2016 in KITAIFA...
ZIFAHAMU FAIDA ZA KULA BAMIA
Postedy by Esta Malibiche on August 17.2016 Chimbuko la Bamia ni Abyssinia (Ethiopia) Kisha ikaenea Duniani kote. 1. Michirizi na ...
WANAFUNZI WAMETAKIWA KUJIEPUSHA NA MAMBO YANAYOWEZA KUKATIZA NDOTO ZAO
Posted by Esta Malibiche On Oct 23,2017 In NEWS Mkuu wa Shule ya Sekondari Lyang'a inayomilikiwa na kanisa katoliki parokia ya Mtakat...
Blog Archive
►
2018
(277)
►
Agosti
(1)
►
Julai
(11)
►
Juni
(36)
►
Mei
(30)
►
Aprili
(62)
►
Machi
(45)
►
Februari
(59)
►
Januari
(33)
►
2017
(602)
►
Desemba
(52)
►
Novemba
(59)
►
Oktoba
(59)
►
Septemba
(30)
►
Agosti
(43)
►
Julai
(29)
►
Juni
(80)
►
Mei
(15)
►
Aprili
(36)
►
Machi
(38)
►
Februari
(45)
►
Januari
(116)
▼
2016
(2522)
▼
Desemba
(64)
MBUNGE WA JIMBO LA KILOLO MWAMOTO ,ACHANGIA MILI...
KILIO CHA MBUNGE RIDHIWANI CHASIKIKA, RC NDIKILO A...
CCM KASULU YATOA ADHABU KWA MBUNGE NA MADIWANI WAK...
MGANGA WA TIBA ZA ASILI ATATUA CHANGAMOTO YA MAJ...
CHECHE AANZA KWA USHINDI AZAM FC,YAITAFUNA PRISONS...
MHANDISI MAKANI ATOA WIKI MBILI KWA WAFANYAKAZI NG...
AL-AHLY YANG’ARA,YAWALAZA MAHASIMU WAO ZAMALEK MCH...
ALIYEKUWA MTUMISHI WA TANAPA ADAI KUTELEKEZWA NA M...
VIJIJI 126 VYAPATIA MRADI WA UMEME MKOANI SHINYANGA
KAIMU KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AENDELEA NA ZIARA YA...
LUKUVI ATOA HATI 154 KWA WAKAZI WA BUNDA MKOANI MARA
Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya 2 na Wakurugen...
Growing passion fruits: What you need to know
RC IRINGA AWATAKIA WANANCHI HERI YA NOELI NA MWAKA...
ZIARA YA KAIMU KATIBU MKUU UVCCM TAIFA SHAKA WILAY...
Tanzania ya Viwanda; NSSF, PPF waanza kutekeleza u...
DALADALA LA ACHA NJIA NA KUJERUHI WATU WATATU TEME...
TIMU YA WANAHABARI IRINGA YAIGAGADUA CDTI , SHETAN...
MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA MKOA WA IRINGA AMPO...
Manispaa ya Kigoma Ujiji kuanza kutumia mbinu mpya...
PM Majaliwa: “Serikali itaendelea kuwatumikia Wata...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba a...
TAASISI YA AGRI-BUSNESS MEDIA INNITIATIVE YASHIRIK...
WAHITIMU ZAIDI YA 2000 CHUO KIKUU SAUT JIJINI MWAN...
SHEREHE YAMAULIDI YA KUZALIWA MTUME (M.A.S)
MATUKIO KATIKA PICHA MBUNGE WA CHALINZE RIDHIWANI ...
LAPF YAWALIPA BILIONI 8.3 ZA FAO LA UZAZI WANACHAM...
HALMASHAURI YA CHALINZE YAJIPANGA KUDHIBITI WAKWEP...
MWENYEKITI WA CCM, RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO...
KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM CHAFANYA TATHMINI YA U...
TBL Mwanza yaunga mkono kampeni ya kupanda miti
MIAKA 55 YA UHURU TANZANIA YAJIVUNIA KUKUA KWA DEM...
RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI ASAMEHE WAFUNGWA 5,67...
HERI KWA WATANZANIA, KWA KUSHEREKEA MIAKA 55 YA U...
WAHARIRI WAKUTANA KUPITIA SHERIA YA HUDUMA YA VYOM...
Watumishi Wizara ya Habari Watakiwa Kuzingatia Maa...
MAJALIWA:TUMETENGA SH. BILIONI 15 ZA MAFUNZO KWA V...
NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA VIWANDA VYA TANZANIA
Wananchi Wilayani Handeni watakiwa kufuata maadili...
DK.KALEMANI;IFIKAPO 2020 VIJIJI, KAYA ZOTE NCHINI ...
WWF-TANZANIA YATOA SEMINA YA USIMAMIZI WA RASILIMA...
Afrika ijifunze kutoka Korea, Mawaziri.
MASAUNI AWAPA HAMASA WACHEZAJI TIMU YA MIEMBENI, Y...
WAZIRI PROF.MBARAWA AZUNGUMZA NA BALOZI WA HISPANI...
KAYA 6,464 WILAYANI KILOLO ZANUFAIKA NA MPANGO WA ...
TANZANIA YAJIPANGA KUSHIRIKIANA MAURITIUS KATIKA S...
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HA...
WAZIRI NAPE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA...
WAZIRI MKUU AMALIZA MGOGORO WA SHAMBA LA MANYARA R...
SERIKALI YA AWAMU YA TANO INAONGOZWA KWA NGUVU ZA ...
WANANCHI WATAKIWA KUTUNZA RASILIMALI MAJI NA MAZIN...
LUKUVI AAGIZA VIONGOZI KUSIKILIZA KERO ZA ARDHI ZA...
RAIS DKT SHEIN ATEMBELEA KIJIJI CHA MKONJONI KASKA...
RC NJOMBE AMPA RUHUSA MJANE KUVUNJA SHERIA
KUELEKEA MABADILIKO BARAZA LA WADHAMINI LA KLABU Y...
KAYA MASKINI 78 KIJIJI CHA MAGUNGULI WALIPWA MALIP...
MKUU WA MKOA WA MBEYA AMOS MAKALLA AISHUKURU UN K...
IGA yatoa mafunzo ya Usimamizi wa Miradi ya Jotoardhi
CHAMA CHA AFYA YA JAMII TANZANIA (TPHA) CHAPATA VI...
ULEGA AENDELEA NA ZIARA YA KUWASHUKURU WANANCHI JI...
LUKUVI ATATUA MIGOGO YA ARDHI YA WANANCHI WA KASUL...
MWENYEKITI WA BODI YA TANAPA KUONGOZA WANANCHI NA ...
RIDHIWANI – WENYE MAAMBUKIZI YA UKIMWI WASIJINYANY...
KITISI FC MABINGWA SPANEST CUP 2016
►
Novemba
(185)
►
Oktoba
(207)
►
Septemba
(239)
►
Agosti
(303)
►
Julai
(313)
►
Juni
(358)
►
Mei
(262)
►
Aprili
(508)
►
Machi
(83)
0 maoni:
Chapisha Maoni