Jumatatu, 23 Oktoba 2017

SINGIDA UNITED FC YAIKABIDHI MIFUKO YA SARUJI SHULE YA SEKONDARI KURASINI NA KUPANDA MITI ENEO LA SHULE

Posted by Esta Malibiche On Oct 23,2017 IN MICHEZO

 KLUB ya Singida United Fc hii leo imewatembelea wadhamini wao, kampuni ya nambari one Duniani kwa uzalishaji wa mbolea ya YARA.

Ziara hiyo ilihusisha pia kutembelea shule ya sekondari ya Kurasini na kupanda miti, kutoa mifuko ya Cement kwajili ya ujenzi wa vyoo vya wanafunzi.
 Club ya Singida United fc wakiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wao,ambao ni kampuniuzalishaji Mbolea ya mbolea ya YARA mara baada ya kuwatembelea.
 Club ya Singida United fc wakipanda miti katika Shule ya Sekondari Kurasini ikiwa ni moja ya ziara yao waliyoifanya leo hii.

0 maoni:

Chapisha Maoni