Ijumaa, 27 Oktoba 2017

WAAMINI WA KANISA KATOLIKI WAKUMBUSHWA KUDUMISHA UPENDO

Posted by Esta Malibiche On Oct 27,2017



WAAMINI wa parokia ya Kanisa Kuu Jimbo Katoliki Sumbawanga wamefanya sherehe ya Jubilei ya miaka 50 tangu kupandwa kwa mbegu ya imani ya parokia yao mwaka 1967 wakiongozwa na  kauli mbiu kutoka katika maandiko matakatifu ( Yoh. 2:17) “Upendo kwa nyumba ya Bwana watubidisha”
Akiongoza adhimisho ya misa takatifu ya Jubilei ya miaka 50 ya parokia ya Kanisa Kuu Jimbo Katoliki Sumbawanga, Askofu wa Jimbo hilo Mhashamu Damian Kyaruzi amesisitiza umoja na upendo kwa wakristo katika kumhubiri Kristo na kudumisha amani katika mkoa wa Rukwa na Taifa kwa ujumla...habari zaidi, Soma gazeti la Kiongozi.





0 maoni:

Chapisha Maoni