Ijumaa, 27 Oktoba 2017

KARDINALI PENGO AWAONGOZA WAAMINI KUIOMBEA NCHI AMANI

Posted by Esta Malibiche on Oct 27,2017


ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, amewaongoza wamisionari wa Utoto Mtakatifu na utume wa Bikira Maria Mama wa Mataifa yote na waamini nchini kusali rozari takatifu kwa ajili ya kuiombea nchi amani, tukio lililofanyika katika kituo cha Msimbazi, Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam...zaidi soma gazeti Kiongozi la wiki hii.



0 maoni:

Chapisha Maoni