Jumatatu, 9 Oktoba 2017

MATUKIO KATIKA PICHA; MAHAFALI YA WANAFUNZI WA KIKE 23 WA KABILA LA KIMASAI NAMNYAKI KILOLO

Posted by Esta Malibiche on Oct 9,2017 IN NEWS

WANAFUNZI wa kike 23 wa jamii ya wafugaji wa Kimasai waliokuwa hatarini kukosa elimu ya sekondari kwasababu mbalimbali ikiwemo ya kuozeshwa wakiwa na umri mdogo,  wanatarajia kumaliza kidato cha nne mwaka huu katika shule ya sekondari ya Namnyaki, wilayani Kilolo mkoani Iringa






















0 maoni:

Chapisha Maoni