Posted by Esta Malibiche on Oct 31,2017 IN NEWS
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akizindua kampeni ya kitaifa ya usafi wa Mazingira,iliyozinduliwa eneo la mapema leo hii katika la Nduli MaNispaa ya Iringa,Mkoani Iringa.PICHA NA ESTA MALIBICHE. |
Agizo hilo amelitoa mapema leo hii wakati akikagua ujenzi wa choo katika shule ya Msingi Ndukli Mnispaa ya Iringa.
Aidha mkuu wa Mkoa amezindua kampeni ya kitaifa ya usafi wa mazingira na kuwasisitiza wananchi wazingatie usafi katika mazingira yanayowazunguka ili kuepukana na magonjewa ya mlipuko.
''Ninaomba tuunge mkono kampeni hii ya kitaifa na kila mmoja atimize wajibu wake kuhakikisha anajenga choo bora na kutunza mazingira''
Meneja wa Kiwanja cha Ndege Iringa,Hana Kibopile akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya usafi wa Mazingira,uliofanyika mapema leo hii katika shule ya Msingi Nduli Manispaa ya Iringa.
Mwandishi wa Habari Gazeti la MjiraMkoa wa Iringa,na mmiliki wa blog ya KALI YA HABARI,Esther Malibiche akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya usafi wa Mazingira ,uliofanyika katika shule ya Msingi Nduli Manispaa ya Iringa.
Mwandishi wa Habari wa Radio Nuru fm,Dajari Mdigange akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya usafi wa Mazingira ,uliofanyika katika shule ya Msingi Nduli Manispaa ya Iringa.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Msenza,akikagua choo cha mkaziwa Nduli
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza akitoa magizo kwa watendaji wa Afya Mnaspaa ya Iringa,kuhakikisha wanasimamia swala la ujenzi wa vyoo bora kwa kila nyumba.
Choo kinachoendelea kujengwa shule ya Msingi Nduli,kikiwa na matundu 5 kwa wanaume na matundu 6 wanawake
Choo kinachoendelea kujengwa shule ya Msingi Nduli,kikiwa na matundu 5 kwa wanaume na matundu 6 wanawake |
|
Choo kinatumika hivi sasa na wanafunzi wa shule ya Mdsingi Nduli wakati ujenzi wa choo bora unaendelea

Mwanafunzi wa shule ya Msingi Nduli akiingia chooni,Choo ambacho kinatumika hivi sasa wakati ujenzi wa choo bora unaendelea.
Mwanafunzi wa shule ya Msingi Nduli akiingia chooni,Choo ambacho kinachotumiwa hivi sasa wakati ujenzi wa choo bora unaendelea.
0 maoni:
Chapisha Maoni