Jumatano, 4 Oktoba 2017

CHAMA CHA MAPINDUZI CCM WILAYA YA IRINGA VIJIJINI KINAENDELEA NA UCHAGUZI WAKE LEO

 Posted by Esta Malibiche on OCT4,2017 IN SIASA
 Chama cha Mapinduzi ccm wilaya ya Iringa Vijijini Mkoani Iringa,kinaaendelea na uchaguzi wake ndani ya chama leo hii,ambapo kinatarajia kumpata katibu wa ccm Wilaya ya Iringa vijijini  pamoja na viongozi wengine.

Kwa taarifa zaidi kuhusu matokeo ya uchaguzi huo,utazipata kupitia mdandao wako kuu wa habari.[KALI YA HABARI BLOG]

 Wajumbe kutoka kata zilizopo ndani ya jimbo la Kalenga na jimbo la Ismani wameshiriki katika uchaguzi huo.










 

 


 

 





Kwa taarifa zaidi kuhusu matokeo ya uchaguzi huo,utazipata kupitia mdandao wako kuu wa habari.




0 maoni:

Chapisha Maoni