Jumatatu, 23 Oktoba 2017

MATUKIO KATIKA PICHA;MAHAFALI YA 3 SHULE YA SEKONDARI LYANG'A WILAYA YA MUFINDI IRINGA

Posted by Esta Malibiche on OCT 23,2017 IN NEWS
Wahitimu wa kidato cha nne shule ya sekondari Lyang'a inayomiliwa na kanisa katoliki parokia ya Mtakatifu Yoseph Itengule,jimbo katoliki la Iringa wakiwa kwenye mahafali ya 3 ya shule hiyo yaliyofanyika jana.Mahafari hayo yaliambatana na harambee ya kuchangia ununuzi wa gari la shule,ambapo jumla ya Tsh.9.2 .Mill zilipatikana.PICHA NA ESTA MALIBICHE.
Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini Anthony Komu aliye katikakati,akiongoza harambee ya kuchangia ununuzi wa gari la shule katika mahafali ya 3 ya shule ya sekondari Lyang'a,kushoto kwake ni Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa dadi Igogo na kulia kawake ni Mkuu wa Shule hiyo Padre Renatus Shija.

 Mkuu wa shule ya Lyang'a Padre Renatus Shija akizungumza katika mahafari ya 3 ya shule hiyo yaliyofanyika jana.

 Mkuu wa shule ya Lyang'a Padre Renatus Shija akizungumza katika mahafari ya 3 ya shule hiyo yaliyofanyika jana.
Grace Moshi mhitimu wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari Lyang'a akisoma Risala ya wahitimu.
Marcelina Mkini,ambae ni Mwenyekiti wa bodi ya Shule hiyo akizungumza katika mahafali ya 3 ya shule ya Sekondari Lyang'a yaliyofanyika jana.

Marcelina Mkini,ambae ni Mwenyekiti wa bodi ya Shule hiyo akizungumza katika mahafali ya 3 ya shule ya Sekondari Lyang'a yaliyofanyika jana.
 
0 maoni:

Chapisha Maoni