Ijumaa, 27 Oktoba 2017

WAKRISTO WAZIISHI IMANI ZAO

Posted by Esta Malibiche on Oct 27,1017


ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora Mhashamu Paulo Ruzoka ametoa angalizo kwa waamini kuachana na maisha ya uzabizabina(ujanjaujanja) na kuishi Imani katoliki kwa uaminifu katika maisha yao ya kila siku katika mazingira yoyote.
  
Rai hiyo ameitoa hivi karibuni katika adhimisho la Misa Takatifu katika kufunga mwaka wa Rozari Takatifu ya Bikira Maria tangu awatokee watoto kule Fatima Ureno.







0 maoni:

Chapisha Maoni