Jumamosi, 7 Oktoba 2017

ASKARI WANYAMAPORI 24 WATUNUKIWA VYETI

Posted by Esta Malibiche on Oct 7,2017 IN NEWS

 Mkurugenzi waMiradi na  Mipango Tanapa Ezekiel Dembe akizungumza katika hafla ya kuwaaga askari wanyama pori iliyofanyika jana.
Akizungumza katika hafla hiyo aliwataka wahitimu kuwa walimu wazuri katika vituo vyao vya kazi.
 Pietro Lurasch ambae ni mkufunzi wa mafunzo ya kuongoza wageni katika utalii wa matembezi akizungumzamkatika hafla hiyo,iliyofanyika jana.
Katika Risala yake aliyoitoa alisema kuwa changamoto kubwa waliyoipata wakati wa mafunzo ni upatikanaji wa silaha nzima aina ya 30.06 pamoja na risasi za 22 ambazo zilichelewesha muda wa kuanza kujifunza somo la silaha.

Mratibu wa SPANEST Godwell Meing'ataki akizungumzakatika hafla hiyo,aliwasisitiza wahitimu kuwa makimi katika kuwaongoza wageni katika hifadhi.

 Askari wanyamapori 24 waliohitimu mafunzo ya kuongoza wageni  katika utalii wa matembezi kutoka katika mikoa mbalimbali yenye uhifadhi hapa nchini,wakiwa katika hafla ya kuwaaga.
 Wahitimu wa mafunzo ya kuongoza wageni wakiwa katika hafka.
 Askari wanyamapori 24 waliohitimu mafunzo ya kuongoza wageni  katika utalii wa matembezi kutoka katika mikoa mbalimbali yenye uhifadhi hapa nchini,wakiwa katika hafla ya kuwaaga.

 Band ya Muziki ya SPANEST wakitumbuiza katika hafla ya kuwatunuku vyeti askari wanyamapori 24 waliohitimu mafunzo ya kuongoza wageni katika utalii wa matembezi,iliyofanyika jana katika viwanja vya Hifadhi ya Taifa Ruaha.

Askari wanyamapori akipokea  cheti cha kuhitimu mafunzo ya kuongoza wageni  katika utalii wa matembezi kutoka katika mikoa mbalimbali yenye uhifadhi hapa nchini

WAHITIMU  wa mafunzo ya kuongoza wageni katika utalii wa matembezi,wametakiwa kuitumia Elimu na mafunzo waliyoyapa kwa muda wa mwezi mmoja kwa kuwa walimu wazuri katika vituo wanavyofanyia kazi.

Kauli hiyo imetolewa jana na Mkurugenzi wa miradi na mipango wa Tanapa...wakati akizungumza katika hafla ya kuwatunuku vyeti wahitimu hao iliyofanyika katika viwanja vya hifadhi ya Taifa Ruaha.

Tanapa imeruhusu mafunzo ili hifadhi ziendelee kuwepo kwa manufaa ya kikazi hiki na kijacho,hivyo Mnatakiwa kuwa makini katika kuwaongoza watalii.

Awali akisoma Risala ya wahitimu wa mafunzo,Deus Chacha alisema idadi ya wanaopata mafunzo ni chache ukilinganisha na uhitaji wa hifadhi zao,hivyo awaiomba Tanapa kuongeza idadi.

Utalii wa matembezi katika hifadhi zetu bado uko chini,hivyo juhudi za dhati zinahitajika ili kuongeza utoaji wa huduma bora kwa watalii na kuliongezea shirika mapato na Taifa kwa ujumla"AlisemaChacha

Pietro Lurasch ni mkufunzi wa mafunzo ya kuongoza wageni katika utalii wa matembezi akizungumzamkatika hafla hiyo, alisema kuwa changamoto kubwa waliyoipata wakati wa mafunzo ni upatikanaji wa silaha nzima aina ya 30.06 pamoja na risasi za 22 ambazo zilichelewesha muda wa kuanza kujifunza somo la silaha.

"Katika mafunzo haya wahitimu waliofaulu wanatakiwa kutembea kwa miguu masaa 100 ili kupata ujuzi zaidi wakisimamiwa na watembezi mbalimbali na kutoa taarifa za maendeleo yao ya kila mwezi kwa Motta"Alisema Lurasch.

Kwa upande wake Mratibu wa SPANEST Godwell Meing'ataki aliwataka kuwa mabalozi wazuri kwakuyafanyia kazi yale waliyofundishwa.

'Shughuli za kuwatembeza watalii ni nzito sana na mbinu utaalam wa kuongoza wageni ni muhimu na unahitajika sana hasa katika jamii" Alisema Meing'ataki.

0 maoni:

Chapisha Maoni