Jumanne, 24 Oktoba 2017

DC MOFUGA ASHIRIKI UJENZI WA DARAJA KATA YA AYAWAMI MBULU

Posted by Esta Malibiche on Oct 24,2017 IN NEWS


Mkuu WA wilaya ya Mbulu mkoani Arusha, Chelestino s MOFUGA  Leo 24/10/2017 ameshirikiana na wananchi wa kata ya Ayamani kujenga daraja La muda. 

Dc Mofuga amewaahidi hao kushirikiana nao katika Ujenzi WA daraja lingine la kudumu ambalo linatarajiwa kuanza kujengwa hivi karibuni.PICHA NA OFISI YA DC.




0 maoni:

Chapisha Maoni