Jumamosi, 28 Oktoba 2017

HAPPYBITHDAY MH.RAIS DKT.MAGUFULI

Posted by Esta Malibiche on Oct 29,2017.
Uongozi wa blog hii ya KALI YA HABARI  inaungana na Watanzania wote kumtakia heri ya kuzaliwa Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania Dkt.John Pombe Joseph Magufuli.Tunamuombea Mungu amjalie Afya njema na maisha marefu ili azidi kulitumia Taifa la Tanzania.
HAPPYBIRTH DAY MH.RAIS MAGUFULI.

0 maoni:

Chapisha Maoni