Jumamosi, 7 Oktoba 2017

WAKURUFUNZI 15 WAHITIMU MAFUNZO YA UDEREVA NA KUTUNUKIWA VYETI

Posted by Esta Malibiche on Oct 7,2017 IN NEWS

Wakurufunzi wahitimu wa Mafunzo ya udereva katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha walioshika vyeti,wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi ambae ni Kaimu RTO Inspector Joseph Mgeri na wageni waalikwa.

Wakurufunzi wahitimu wa Mafunzo ya udereva katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha walioshika vyeti,wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi ambae ni Kaimu RTO Inspector Joseph Mgeri na wageni waalikwa.

Wakurufunzi wahitimu wa mafunzo ya udereva wakiwa katika hafla fupi ya kuhitimu mafunzo iliyofanyika katika viwanja vya Hifadhi ya Taifa Ruaha.
Wakurufunzi wahitimu wa mafunzo ya udereva wakiwa katika hafla fupi ya kuhitimu mafunzo iliyofanyika katika viwanja vya Hifadhi ya Taifa Ruaha.
Mkurugenzi wa Miradi na Mipango Tanapa,Ezekiel Dembe akizungumza katika hafla fupi ya kurufunzi wahitimu mafunzo ya udereva katika hifadhi ya Ruaha.Katika hotuba yake aliwataka wahitimu kuzingatia mafunzo waliyofundishwa kubadirisha  Maisha yao kwa kujiepusha na ajali zinazoweza kuukika.

Mkurufunzi wa udereva Veta Iringa,Fortunatus Kinyangazi aliitaka Tanapa kuendeleza zoezi la  madereva kuchukua mafunzo.Pia aliishukuru SPANEST kwa kufadhiri mafunzo hayo.

Mratibu wa SPANEST Godwel Meing'ataki,akizungumza katika hafla hiyo alisema ni fursa kubwa waliyopewa wahitimu hao,hivyo wanapaswa kuwa madereva wa kuhaminika,kwa kuwa na nidhamu katika kazi,kujitambua na kuaminika
Mratibu wa SPANEST Godwel Meing'ataki,akizungumza katika hafla hiyo alisema ni fursa kubwa waliyopewa wahitimu hao,hivyo wanapaswa kuwa madereva wa kuhaminika,kwa kuwa na nidhamu katika kazi,kujitambua na kuaminika.

Kaimu RTO Inspector Joseph Mgeri ambae alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo katika hotuba yake aliwasihi wa
hitimu kupitia mafunzo waliyoyapa wahakikishe wanakuwa madereva wazuri na wayatekeleze kwa vitendo.

Mkuu wa hifadhi ya Ruaha Dr.Christopher Timbuka akizungumza katika hafla fupi ya kuwatunuku vyeti wakurufunzi wahitimu wa mafunzo ya udereva yaliyofanyika hapo jana katika viwanja vya hifadhi ya Taifa Ruaha.

Mkurufunzi Mhitimu wa mafunzo ya udereva Winfrida Fabiani akisoma Risala ya wahitimu kwa mgeni rasmi.Kushoto kwake ni Mkurufunzi mhitimu Fred Mungure.

Wakurufunzi 15 wakipokea vyeti vya kuhitimu mafunzo ya udereva.

Jumla ya wakurufunzi 15 wahitimu mafunzo ya udereva katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha Mkoani Iringa.
Akisoma Risala kwa mgeni rasmi,Mkurufunzi Winfrida Fabiani alisema mafunzo hayo yamewapatia ujuzi mkubwa wa kuendesha magari katika mazingira  na maeneo tofauti tofauti ya barabara yakiwemo maeneo ya  pori na maeneo ya mjini.

Alisema wamepata uzoefu wa kutosha hasa wale ambao ilikuwa ni mara yao ya kwanza kuendesha magari.

Kwa upande wake Mgeni rasmi Inspector Joseph Mgeri ambae ni kaimu RTO,alisema wahitimu wanatakiwa kupewa muda zaidi wa kufanya mazoezi ili kuwajengea zaidi katika utendaji wao.

Nae Mratibu wa Spanest Godwel Meing'ataki amewasihi wahitimu kuwa madereva wq kuaminika kutokana na mafunzo waliyoyapa.

0 maoni:

Chapisha Maoni