Ijumaa, 27 Oktoba 2017

MATUKIO KATIKA PICHA MWILI WA ASKOFU CASTORY MSEMWA UKIPUMZISHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE

Posted by Esta Malibiche on Oct 27,2017




HATIMAYE Askofu wa Jimbo Katoliki Tunduru Masasi marehemu Castory Msemwa amepumzishwa Katika Kanisa la Kiaskofu la Mtakatifu Fransisko Cxavery Oktoba 25 mwaka huu jimboni humo.

Akihubiri Katika Ibada ya Misa Takatifu ya kumuaga iliyoongozwa na Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Askofu Mkuu Beatus Kinyaiya, Askofu Mkuu Damian Dallu wa Jimbo Kuu Katoliki Songea amesema Kanisa linaomboleza kwakuwa limempoteza Askofu mchapakazi aliyefahamu wajibu wake...Habari zaidi soma Kiongozi la wiki hii



0 maoni:

Chapisha Maoni