Posted by Esta Malibiche on JUNE 21,2017 IN NEWS
Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini
Japani Bw.Hiroki TAMURA akielezea namna alivyofanya kazi katika Chuo
cha Utalii Zanzibar, katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea
kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI
leo.
Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini
Japani Bi. Moemi Ikeda akielezea namna alivyofanya kazi katika Shule ya
Msingi Lusanga-Morogoro, katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa
kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao iliyofanyika ukumbi
wa UTUMISHI leo.
Mwakilishi kutoka Wizara ya Elimu
na Mafunzo ya Ufundi Bw. Fundikira Ekerege (kulia) akitoa ufafanuzi wa
masuala mbalimbali ya elimu yaliyowasilishwa katika hafla fupi ya
kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao
iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI leo.
Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji
Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi.Roxana Kijazi (kushoto)
akikabidhi zawadi kwa Mtaalam wa kujitolea kutoka nchini Japan Bi.
MIDORI MIYAZAKI aliyemaliza muda wake wa kutoa huduma nchini katika
hafla ya kuwaaga wataalam hao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI leo.
Mkurugenzi Idara ya Uendelezaji
Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi.Roxana Kijazi (kushoto)
akikabidhi zawadi kwa Mtaalam wa kujitolea kutoka nchini Japan Bw. Shota
Yanagisawa aliyemaliza muda wake wa kutoa huduma nchini katika hafla
ya kuwaaga wataalam hao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI leo.
Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji
Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi.Roxana Kijazi (wa tano kutoka
kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wataalam wa Kujitolea kutoka
nchini Japan waliomaliza muda wao wa kutoa huduma nchini baada ya hafla
ya kuwaaga iliyofanyika UTUMISHI leo.
0 maoni:
Chapisha Maoni