Jumatano, 21 Juni 2017

TAARIFA KUHUSU KUSIMAMA KWA KIVUKO CHA MV MAGOGONI

Posted by Esta Malibiche on JUNE 21,2017

TAARIFA KWA UMMA YAH: KUSIMAMA KWA KIVUKO CHA MV MAGOGONI

Siku ya Jumanne Tarehe 20/06/2017 saa 9:45 jioni kivuko cha Mv. Magogoni kilipata hitilafu ya injini hali iliyopelekea kivuko hicho kusimama kwa muda kwa ajili ya matengenezo ya injini hiyo.
Hata hivyo katika kipindi hicho cha matengenezo kivuko cha Mv. Kazi kwa kushirikiana na Mv. Kigamboni viliendelea kutoa huduma kwa wananchi kama ilivyoada.
Hali yaMv. Magogonisasanishwari,salamanakimerejeakutoahudumaleosaa 10:30 Alfajiri. Hivyokwasasavivukovyotevitatuvinashirikianakutoahuduma.
TEMESA inaombaradhikwausumbufuwowoteuliojitokeza.
ImetolewanaKitengo cha HabarinaMawasiliano.
21/06/2017

0 maoni:

Chapisha Maoni