Jumatatu, 5 Juni 2017

WATANZANIA WATAKIWA KUUNGA MKONO KWA VITENDO JUHUDI ZINAZOFANYWA NA DKT.MAGUFULI

Posted by Esta Malibiche on JUNE 5,2017 IN KITAIFA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akizungumza na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mafinga Jimbo katoliki la Iringa katika Ibada ya Misa Takatifu iliyofanyika jana.PICHA NA ESTA MALIBICHE
 Watanzania wameaswa kumuombea Mh. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na kuunga mkjono juhudi zake anazofanya za kuhakikisha Rasiliamali iliyopo Nchini inalindwa na kuwanufaisha wananchi.
Kauli hiyo imetolewa jana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba wakati akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Iringa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya Uzinduzi wa nyimbo za Injili Album ya kwaya kuu ya Mtakatifu Cesilia Parokia ya Mafinga Jimbo Katoliki la Iringa.
Waziri Mwigulu aliambatana na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Rose Tweve,Mbunge wa Mafinga Mjini Cosato Chumi,Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Willium Jamuhuri,Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mufindi Riziki Shemdoe,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga Pamoja na Viongozi wa vyama vya Siasa.

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akizungumza na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mafinga Jimbo katoliki la Iringa katika Ibada ya Misa Takatifu iliyofanyika jana.PICHA NA ESTA MALIBICHE
Kwaya kuu ya Mtakatifu Cesilia Parokia ya Kihesa Jimbo Katoliki la Iringa,ikiongoza litrujia ya nyimbo katika Ibada ya Misa Takatifu ya Uzinduzi ya Album ya kwaya Rafiki ya Mtakatifu Cesilia Parokia ya Mafinga.

Padre Leonard Muli akiwa katika picha ya pamoja na waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi wengine wa Serikali walioshiriki Ibada ya Misa Takatifu katika parokia ya Mafinga .

0 maoni:

Chapisha Maoni