Alhamisi, 15 Juni 2017

MAYWEATHER KUPANDA ULINGO DHIDI YA McGREGOR BINGWA WA NGUMI NA MATEKE AGOSTI 26 MWAKA HUU

Posted by Esta Malibiche on JUNE 15,2017 IN MICHEZO

mayweather-salehjembe
Floyd Mayweather amerejea tena ulingoni baada ya kuwa ametangaza rasmi kustaafu.
Mayweather ambaye hajawahi kupigwa atapanda ulingoni kuzipiga dhidi ya McGregor ambaye ni bingwa wa mchezo wa ngumi na mateke.
Pambano la ngumi la wawili hao litapigwa Agosti 26 jijini Las Vegas nchini Marekani.

0 maoni:

Chapisha Maoni