Jumatatu, 19 Juni 2017

MATUKIO KATIKA PICHA;MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA EKARISTI TAKATIFU PAROKIA YA KIHESA JIMBO KATOLIKI LA IRINGA.

Posted by Esta Malibiche on JUNE 19,2017 IN NEWS
Padre David Kasombe Paroko msaidizi katika Parokia ya Kihesa Jimbo katoliki la Iringa,akiongoza maandano ,huku akiwa amebeba Eskaristi Takatifu katika adhimisho la sikukuu ya Ekaristi takatifu iliyofanyika jana.PICHA NA ESTA MALIBICHE.

 











































0 maoni:

Chapisha Maoni