Posted by Esta Malibiche on JUNE 14,2017 in NEWS
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono
na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L.
Thornton mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo
Juni 14, 2017. Kulia ni balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza
Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L.
Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14,
2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Canada
nchini Mhe Ian Myles na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa palamagamba
kabudi akipeana mikono na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya
Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar
es salaam leo Juni 14, 2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba
Profesa Palamagamba kabudi
Mwenyekiti wa Barrick Gold
Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton akiongea na wanahabari
baada ya mazungumzo na rais Dkt Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo
Juni 14, 2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba
Kabudi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari baada ya
mazungumzo yake na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada
(kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kulia ni
Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles na Waziri wa Sheria na Katiba
Profesa Palamagamba Kabudi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Canada
nchini Mhe Ian wakiwa na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya
Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar
es salaam leo Juni 14, 2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba
Profesa Palamagamba kabudi
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akiwa na Waziri wa
Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi baada ya mazungumzo na
Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L.
Thornton Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L.
Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14,
2017. wakiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
na Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles
Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian
Myles akiongea na wanahabari baada ya mazungumzo baina ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mwenyekiti
wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton Ikulu
jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L.
Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14,
2017. Pamoja nao ni Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles na Waziri
wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
PICHA ZOTE NA IKULU
……………………………………………………………….
WS
0 maoni:
Chapisha Maoni