Posted by Esta Malibiche on JUNE 21,2017 IN NEWS
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kushoto) akizungumza wakati wa futari aliyoiandaa kwa ajili ya
Wabunge na Watumishi wa Bunge iliyofanyika katika viwanja vya Bunge
Mjini Dodoma, kulia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu,
anaefuata ni Mbunge wa Bariadi Magharibi Mheshimiwa Andrew Chenge na wa
pili kushoto ni Mbunge wa Mbalali Mheshimiwa Haroon Pirmohamed.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kulia)akiagana na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa
(kushoto) baada ya kumalizika kwa futari aliyoiandaa jana katika kwa
ajili ya Wabunge na Watumishi wa Bunge iliyofanyika katika viwanja vya
Bunge Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kushoto) akizungumza jambo na Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknolojia, Mheshimiwa Joyce Ndalichako (katikati) wakati wa futari
aliyoiandaa kwa ajili ya Wabunge na Watumishi wa Bunge iliyofanyika
katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, kulia ni Mbunge wa Mbalali
Mheshimiwa Haroon Pirmohamed.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mbunge wa Mbalali Mheshimiwa Haroon
Pirmohamed (kulia) wakati wa futari aliyoiandaa kwa ajili ya Wabunge na
Watumishi wa Bunge iliyofanyika katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (wa tatu kushoto) akifurahi jambo wakati wa futari aliyoiandaa
kwa ajili ya Wabunge na Watumishi wa Bunge iliyofanyika katika viwanja
vya Bunge Mjini Dodoma, wa pili kushoto ni Waziri Mkuu, Mheshimiwa
Kassim Majaliwa.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
0 maoni:
Chapisha Maoni