Ijumaa, 23 Juni 2017

MATUKIO KATIKA PICHA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA UTALII 2017 MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI

Posted by Esta Malibiche on JUNE 23,2017 

 Wadau wa Utalii kutoka Mikoa ya nyanda za juu kusini,Mbeya,Ruvuma,Songwe na Iringa wakiwa  katika kikao cha maandalizi ya Monesho ya Utalii ''KARIBU KUSINI'' kilichofanyika katika ukumbi wa Veta Manispaa ya Iringa.
Mkuu wa wilaya ya Mufindi Jamhuri David Willium akizungumza na wadau wa Utalii katika kikao cha maandalizi ya maonyesho ya utali ''KARIBU KUSINI'' kwa mikoa ya Nyanda za juu kusini katika ukumbi wa Veta Mkoani Iringa.

Mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia Abdalh  akizungumza na wadau wa Utalii katika kikao cha maandalizi ya maonyesho ya utali ''KARIBU KUSINI'' kwa mikoa ya Nyanda za juu kusini katika ukumbi wa Veta Mkoani Iringa.

 Wadau wa Utalii kutoka Mikoa ya nyanda za juu kusini,Mbeya,Ruvuma,Songwe na Iringa wakiwa  katika kikao cha maandalizi ya Monesho ya Utalii ''KARIBU KUSINI'' kilichofanyika katika ukumbi wa Veta Manispaa ya Iringa.

0 maoni:

Chapisha Maoni