Ijumaa, 30 Juni 2017

KATIBU WA UVCCM IRINGA MJINI PATRICK MUYINGA AZUNGUMZA NA WAENDESHA PIKIPIKI NA BAJAJI

Posted by Esta Malibiche on JUNE 30,2017 IN SIASA.
Waendesha pikipiki[Bodaboda]na Waendesha bajaji  zaidi ya 100 walioshiriki kikao hicho ,wakiwa katika picha ya pamoja na katibu wa umoja wa vijana ccm Iringa Mjini.
Katibu wa umoja wa Vijana Ccm Iringa Mjini Patrick Muyinga akizungumza kwenye kikao na waendesha pikipiki na bajaiji,kilichofanyika jana katika ukumbi wa chama cha MAPINDUZI CCM  Iringa Mjini.
Mkuu wa kitengo cha upelelezi Mkoa wa Iringa,Deodisaliti Ksindo akitoa Elimu kwa waendesha pikipiki na Bajaji katika kikao kilichofanyika  ofisi za CCM Iringa Mjini.
 























0 maoni:

Chapisha Maoni