Alhamisi, 8 Februari 2018

WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Posted by Esta Malibiche on FEBRUARI 8,2018 IN NEWS

pene1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) Mkoa wa Geita Upendo Peneza, nje ya jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma, Februari 7, 2018.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
pene2
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, bungeni mjini Dodoma Februari 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Chapisha Maoni