Posted by Esta Malibiche on FEBRUARI 1,2018 IN KITAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa maadhimisho ya
mwaka mpya wa mahakama ama Siku uya Sheria kwenye uwanja wa Mahakama kuu
Ocean Road jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na Jaji Mkuu wa
Tanzania Profesa Ibrahim Juma baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya
mwaka mpya wa mahakama ama Siku uya Sheria kwenye uwanja wa Mahakama kuu
Ocean Road jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim
Juma na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Othman Omar Makungu, , Naibu spika
Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora – Mhe George Mkuchika katika picha ya pamoja na viongozi
wa dini na Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya kuhutubia
wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa mahakama ama Siku uya Sheria
kwenye uwanja wa Mahakama kuu Ocean Road jijini Dar es salaam leo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Jaji
Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Othman Omar
Makungu, , Naibu spika Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Sheria na Katiba
Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora – Mhe George Mkuchika
katika picha ya pamoja na Majaji Wastaafu baada ya kuhutubia wakati wa
maadhimisho ya mwaka mpya wa mahakama ama Siku uya Sheria kwenye uwanja
wa Mahakama kuu Ocean Road jijini Dar es salaam leo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Makamu wa Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Mhe. Godwin
Ngwilimi baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya mwaka mpya wa
mahakama ama Siku uya Sheria kwenye uwanja wa Mahakama kuu Ocean Road
jijini Dar es salaam leo.
Picha na IKULU
0 maoni:
Chapisha Maoni