Jumatatu, 12 Februari 2018

MATUKIO KATIKA PICHA; MKUTANO WA MAKAMU WA RAIS KATIKA VIWANJA VYA MWEMBETOGWA IRINGA MJINI

Posted by Esta Malibche on FEBRUARI 12,2018 IN KITAIFA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwembetogwa mkoani Iringa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Waziri wa maliasili na utalii Hamisi Kigwangala akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwembetogwa mkoani Iringa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Mkazi Willium Lukuvi,ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Isimani kupitia Chama cha Mapinduzi CCM,akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwembetogwa mkoani Iringa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Mnec wa Mkoa wa Iringa,ambae pia ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Salim Asas akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwembetogwa mkoani Iringa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwembetogwa mkoani Iringa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Wabunge wa chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa,wakiwasalimia wananchi  kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwembetogwa mkoani Iringa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Sehemu ya Wakazi wa Iringa mjini waliojitokeza kumsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 
 Sehemu ya Wakazi wa Iringa mjini,viongozi wa chama cha Mapinduzi ccm,viongozi wa Jumuiya na makada wa Chama cha Mapinduzi ccm waliojitokeza kumsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 Sehemu ya Wakazi wa Iringa mjini, makada wa Chama cha Mapinduzi ccm waliojitokeza kumsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Sehemu ya Wakazi wa Iringa mjini,viongozi wa chama cha Mapinduzi ccm,viongozi wa Jumuiya na makada wa Chama cha Mapinduzi ccm waliojitokeza kumsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 Sehemu ya Wakazi wa Iringa mjini,viongozi wa chama cha Mapinduzi ccm,viongozi wa Jumuiya na makada wa Chama cha Mapinduzi ccm waliojitokeza kumsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

0 maoni:

Chapisha Maoni