Jumapili, 8 Aprili 2018

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUMSIMIKA MHASHAMU ISAACK AMANI KUWA ASKOFU MKUU JIMBO LA KATOLIKI ARUSHA LEO

Posted by Esta Malibiche ON April 8,2018 IN KITAIFA


1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia maelfu ya wananchi na waumini alipowasili kushiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
3 3a
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na Maaskofu katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na mapadri na  katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
Picha na IKULU

0 maoni:

Chapisha Maoni