Jumatatu, 16 Aprili 2018

Posted by Esta Malibiche ON April 16,2018 IN MICHEZO.

 Wachezaji na viongozi wa timu ya Singinda United wakiwa kwenye shamba darasa ambalo mahindi yake yamepandwa kwa kutumia mbolea ya Yara ambayo ni moja ya kampuni  inayoidhamini Timu hiyo hapa Nchini Tanzania


 Meneja wa timu ya Singida United ya mkoani Singida Ibrahim Ahamed akiwa kwenye shamba darasa ambalo lipo katika kata ya Ruaha mkoani Iringa
 Wachezaji na viongozi wa timu ya Singinda United wakiwa kwenye shamba darasa ambalo mahindi yake yamepandwa kwa kutumia mbolea ya Yara ambayo pia kampuni hiyo ya Yara Tanzania inawadhamini pia timu hiyo ya Singida United
   .
Moja ya shamba shamba darasa lilopo katika kata ya Ruaha mkoani Iringa.

Afisa Masoko wa Kampuni ya Mbolea ya Yara Mkoa wa Iringa Dionis Shomele akitoa maelezo kwa Timu ya Singida Unitedi ya Mkoa wa Singida ilipotembelea leo Shamba darasa lilipo eneo la Ipogolo kata ya Ruaha Manispaa ya Iringa.

0 maoni:

Chapisha Maoni