Alhamisi, 5 Aprili 2018

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO 5, APRILI 2018

Posted by Esta Malibiche on April 5,2018 in SIASA

1
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Leo Mjini Dodoma.
2
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (Chini kushoto) akiteta jambo na Mbunge wa Urambo Mhe. Margaret  Sitta (Chini Kulia) na Juu Kulia ni Naibu Waziri Wizara ya Viwanda, Biashara ba Uwekezaji Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akimueleza jambo Mbunge wa Mbozi Mhe. Pascal Haonga wakati wa Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Leo Mjini Dodoma.
3
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Leo Mjini Dodoma.
4
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimueleza jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Mkuchika.
PICHA NA MAELEZO

0 maoni:

Chapisha Maoni