Posted by Esta Malibiche on April 21,2018 in NEWS
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwaongoza viongozi kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa maghala
na vihenge vya kisasa kwenye eneo la Kizota mjini Dodoma Aprili 21,
2018. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Spika wa
Bunge, Job Ndugai, Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Dodoma, Godwin Mkanwa,
Balozi wa Poland nchini, Mhe. Krzystof Buzalski na kulia Waziri wa
Kilimo, Dkt. Charles Tizeba.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiteta na balozi wa Poland nchini, Mhe Krzysztof Buzalski wakati
alipoweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa maghala na vihenge vya
kisasa katika eneo la Kizota mjini Dodoma Aprili 21, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza wakati alipoweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa
magahala na vihenge vya kisasa katika eneo la Kizota mjini Dodoma
Aprili 21, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na balozi wa Poland nchini, Mhe. Krzysztof Buzalski wakati
alipowasili kwenye viwanja vya magahla ya Wakala wa Hifadhi yaTaifa ya
Chakula chino (NFRA) kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa
magahala na vihenge vya kisasa, eneo la Kizota mjini Dodoma Aprili 21,
2018. Wapili kushoto ni Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles Tizeba , kushoto
ni Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt, Mary Mwanjelwa na kulia ni Mjumbe wa
bodi ya kampuni ya Freerum ya Poland, Bw. Piotr Wielesik.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiagana na balozi wa Poland nchini, Mhe Krzysztof Buzalski baada ya
kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa magahala na vihenge vya
kisasa katika eneo la Kizota mjini Dodoma Aprili 21, 2018. Watatu kulia
ni Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles Tizeba , kushoto ni Naibu Waziri wa
Kilimo, Dkt, Mary Mwanjelwa na wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,
Bilinith Mahenge.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwemo
wabunge na Wakuu wa Mikoa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakati aliopozungumza kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi
wa magahala na vihenge vya kisasa kwenye eneo la Kizota mjini Dodoma
Aprili 21, 2018
Spika wa Bunge, Mhe.Job Ndugai
akizungumza Katika sherehe ya uwekaji jiwe la msingi la maghala na
vihenge vya kisasa kwenye eneo la Kizota mjini Dodoma, Aprili 21, 2018.
Mgeni rasmi alikuwa ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi walioshiriki kwenye
sherehe ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa maghala na
vihenge vya kisasa kwenye eneo la Kizota mjini Dodoma, Aprili 21, 2018.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 maoni:
Chapisha Maoni