Posted by EstayMalibiche on April 7,2018 IN NEWS
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde,akizungumza na vijana wa Mkoa wa Iringa wakati wa kufunga Mafunzo ya ujasiliamali,ambapo zaidi ya vijana elfu moja [1000]wametunukiwa vyeti vya kuhitimu mafunzo hayo.
NA ESTA
MALIBICHE
IRINGA
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde amezitaka Halmashauri Nchini kuhakikisha wanatenga fedha za mapato yao ya ndani kwa
ajili ya akina mama na vijana.
Agizo hilo
amelitoa mapema leo hii Mkoani Iringa wakati wa kufunga Mafunzo ya
wajasiliamali yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Vijana CCM Mkoa wa Iringa,ambapo
zaidi ya wahitimu elfu moja wametunukiwa vyeti.
Mavunde alisema kuwa ni haki ya kila kijana
kupata mikopo inayotolewa na Serikali
bila kujali itikadi za vyama
vyao.
‘Tunataka
mikopo iwafikie vijana ili wawaeze kujishugulisha.Pia ninawaomba wakurugenzi
mtenge maeneo maalum ili vijana wawaeze kufanya shughuli zao za ujasililiamali
na wale wote wqenye dhamana ya vijana
nawaomba washuke chini kutatua kero zao
ikiwa mipamoja na kuwapa Elimu namna ya kujikwamua kiuchumi’Alisema
Mavunde’
Aidha
aliwataka wenyeviti wa Uvccma Nchini kuhakikisha wanawasaidia vijana kujikwamua
kiuchumi kwa kuwapa Elimu ya ujasiliamali ili kupunguza wimbi kubwa la vijana
wasio na ajira.Pia aliipongeza kampuni ya Asas group kwa kufadhiri mafunzo hayo
pamoja na Kampuni ya Ivory na Jeshi la Magereza ambao walijitoa kuhakikisha
mafunzo hayo yanafanyika kwa kutoa michango yao mbalimbali.
Awali akisoma
Risala ya Umoja wa Vijana ccm Mkoa wa Iringa kwa Naibu Waziri ,Shaibath
Kapingu ambae ni Katibu Seneti vyuo vikuu Uvccm Mkoa wa Iringa alisema kuwa
Uvccm Mkoa wa Iringa wamedhamulia
kuhakikisha vijana wanapata nafasi na fursa katika kujenga uchumi wa Taifa na
kuwa mfano bora baada ya mafunzo.
Kapingu
alisema kuwa asilimia tano ya vijana
imekuwa ni changamoto kubwa katika Halmashauri hii inatokjana na vijana kuto kutokuwa na
uelewa wa kutosha juu ya u[patikanani wa asilimia tano ambazo zinatengwa na Serikali
kwa ajili ya kuwasaidia kujikwamua kiuchumi.
‘Sisi vijana
wa Iringa tunapenda kumpongeza Mh.Rais
wa awamu ya tano chini y uongozi wake Rais Magufuli paojana waziri Mkuu Kasimu Majaliwa,tunathamini sana
kazi wanazozifanya na ,tunaona na tunatumaini kubwa sana na utendaji wao mzuri
wenye kuleta matumaini makubwa kwa vijana wa Tanzania katika kuwainua kiuchumi,Kisiasa na
kijamii.Alisema Kapingu.
Kwa upande
wake Mwenyekiti wa uvccm Mkoa wa Iringa Kenani Kihongosi aliwataka
wajasiliamali kwenda kuifanyia kazi Elimu ya ujasiliamali waliyoipata ili
wawaeze kujikwamua kiuchumi.Pia aliwataka kubuni miradi itakayowasaidia
kujiimarisha kiuchumi.
Kihongosi
alisema Uvccm itaendelea kuwapa Elimu ya
ujasiliamali Vijana wa Mkoa wa Iringa ili awaweze kuachana na hali ya kukaa
vijiweni na kupiga soga huku wakiiilaumu Serikali kila kukicha na kudai kuwa
haitoi ajira.
Nae Mkuu wa
wilaya ya Iringa Richard Kasesela ameiagiza Halmashauri ya Manispaa ya
Iringa kuvikopesha mikopo vikundi vya
vijana vilivyosajiliwa kwa kufuatas utaratibu.
Aliitaka Serikali kutafuta wafadhiri ikiwa ni
pamaoja na kuwaopeleka wajasalimalia nje ya Nchi kwenda kujifunza zaidi ili
waweze kutengeneza bidhaa zenye tija kwa m,anufaa ya Taifa.
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde,akipokelewa na viongozi wa Uvccm Hallfea mara bada ya kuwasili katika viwanja vya Hallfea Mkoani Iringa.
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde,akikaribishwa na Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Irina Kenanai Kihongosi na Katibu wa Uvccm Iringa Mjini mara bada ya kuwasili katika viwanja vya Hallfea Mkoani Iringa
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akisalimiana na Mjumbe wa baraza kuu uvccm Taifa kupitia Mkoa wa Iringa Bi.Jameela Abdalah.
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akisalimiana na Katibu wa Seneti vyuo na vyuo vikuu uvcm Mkoa wa Iringa Shaibath Kapingu.
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akisalimiana na Katibuwa Jumuiya ya UWT Mkoa wa Iringa Chiku Masanja.
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akisalimiana na Katibu wa Jumuiya ya wazazi Iringa Mjini BI.Ashura Jongo.
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akisalimiana nawajasiliamali.
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akisalimiana nawajasiliamali. |
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akikagua mabanda ya wajasiliamali. |
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akikagua mabanda ya wajasiliamali.
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akikagua mabanda ya wajasiliamali.
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akiendelea kukagua mabanda ya wajasiliamali.
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akiendelea kukagua mabanda ya wajasiliamali.
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akiendelea kukagua mabanda ya wajasiliamali.
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akiendelea kukagua mabanda ya wajasiliamali.
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akiendelea kukagua mabanda ya wajasiliamali.
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akiendelea kukagua mabanda ya wajasiliamali.
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akiendelea kukagua mabanda ya wajasiliamali.
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akisaini kitabu cha wageni. |
NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akiwahutubia vijana[hawapo pichani] |
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha Mpainduzi ccm Ritha Kabati akizungumza
Mmoja wa wakurungezi wa kampuni ya Asas Group akizungumza . |
Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Iringa Kenanai Kihongosi akizungumza. |
Katibu wa Chama cha Mapinduziu CCM iringa Mjini Marco Mbaga akizungumza. |
Katibu Seneti vyuo vikuu Uvccm Mkoa wa Iringa Shaibath
Kapingu akisoma Risala ya uvccm kwa Naibuwaziri.
Vijana walioshiriki wa Mafunzo ya ujasiliamali
Vijana Waliohiriki wa Mafunzo ya ujasiliamali. NAIBU Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana ajira na walemavu Antony Mavunde akimkabidhi cheti mshiriki wa Mmavunzo ya ujasiliamali. |
Mjumbe wa baraza kuu uvccm Taifa kupitia Mkoa wa Iringa Bi.Jameela Abdalah,akimkabidhi Naibu Waziri zawadi ya Moja bidhaa zilizotengenezwa na wajasailiamali. |
0 maoni:
Chapisha Maoni