Jumanne, 10 Aprili 2018

CHAMA CHA MAPINDUZI CCM IRINGA MJINI CHAIKABIDHI HOSPITALI YA FRELIMO VIFAA VYENYE THAMANI YA MILL.5.2

Posted by Esta Malibiche on April 10,2018 IN SIASA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Iringa Mjini,Said Rubeya akimkabidhi kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa Omari Mkangama Seti ya Tv  yenye thamani ya Mill.2 



Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Iringa Mjini,Said Rubeya,akikabidhi Mashine za kufulia zenye thamani ya Mill.3.2 

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Iringa Mjini,Said Rubeya,akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa vyenye thamani ya Mill.3.2 ambapo vifaa vyote vinathamani ya Mill.5.2.










0 maoni:

Chapisha Maoni