Kwa Habari za kitaifa na kimataifa

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za michezo na burudani

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za afya

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za Kilimo

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za uchumi na biashara

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za elimu

Tembelea Kali ya habari

Jumapili, 29 Aprili 2018

RAIS MAGUFULI AAHIDI KUIGEUZA IRINGA KUWA MKOA WA KITALII

Posted by Esta Malibiche ON April 30,2018 IN NEWS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli akiwahutubia wananchi wa Mkoa wa Iringa jana mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Ndolela Halmashauri ya Iringa Vijijini.
Na Esta Malibiche
Iringa
RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli ameahidi kuugeza Mkoa wa Iringa kiutalii kwa kutengeneza Uwanja wa Ndegebwa Nduli uliopo Mkoani hapa ili watalii waweze kuingia kwa wingi.

Hayo ameyasema jana wakati akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Ndolela kata ya Kihorogota Tarafa ya Isimani wakati wa Ufunguzi wa barabara  ya Iringa_Migori _Fufu iliyojengwa kwa kiwango cha rami,yenye umbali  wa KM 189,ambayo ni sehemu ya  barabara ya Iringa_Dodoma yenye KM 260.


Rais Magufuli alisema Serikali imeamua kuwa Iringa iwe sehemu ya Mkoa wa Utalii kutokana na mbuga kubwa ya wanyama iliyopo.
 "Tumeamua kuutengeneza uwanja wa Nduli kuwa wa rami ili ndege ziweze kutua,na wananchi wa Iringa waweze kunufaika kwa kutumia fursa zinazotokana na watalii"
Viongozi wa kabila la kihehe(Machifu) wakiwasili katika viwanja vya Ndolela kushuhudia ufunguzi wa Barabara.
Viongozi wa Madhehebu ya dini mbalimbali wakiwa katika ufunguzi wa barabara
Mh.Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jobu Ndugai akisalimiana na Jaji Mfawidhi wa Mkoa wa Iringa
Kikundi  chaNgoma kikitumbuiza 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TAnzania Dk.John Magufuli  akisalimiana na Waziri wa Miundombinu na Uchukuzi Makame Mbalawa  mara baada ya kuwasili  Mkoani Iringa  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TAnzania Dk.John Magufuli  akisalimiana na Waziri wa Ardhi Willium Lukuviambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Isimani kupitia chama cha Mapinduzi CCM




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli   akiwapungia mikono wananchi wa Mkoa wa Iringa k mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Ndolela Iringa Vijijini tayari kwa ufunguzi wa Barabara 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli  akisalimiana na Askofu Mstaafu wa KKKT Mdegela 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli  akisalimiana na Kiongozi wa Dini  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli  akisalimiana na Kiongozi wa Dini  ya Kiislam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli  akisalimiana na Kiongozi wa Dini  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli  akisalimiana na Kiongozi wa Dini  


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli  akisalimiana na Kiongozi wa Dini 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli  akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa,ambae pia ni Mnec wa Mkoa wa Iringa Salim Asas

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli  akisalimiana na Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM MKoa wa Iringa Christopher Magala