Posted by Esta Malibiche on DEC 11,2017 IN NEWS
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akikagua maandalizi ya JWTZ Kikosi cha 673 katika harakati za maandalizi ya kuamia mkoani Dodoma na alietangulia mwenye nguo nyeusi CEO Meltus Francis akimuonyesha IGP maeneo mbali mbali ya kikosi hicho. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro kushoto akiwa na mwenyeji wake CEO Meltus Francis,akikagua ujenzi wa gharama nafuu katika Kikosi 673 ili kuupata ujuzi huo kutoka JWTZ na Jeshi la Polisi watumie ili kupunguza gharama za Nyumba za Askari mkoani Dodoma katika harakati za kuamia mkoani humo. Picha na Jeshi la Polisi.

0 maoni:
Chapisha Maoni