Ijumaa, 8 Desemba 2017

RC KILIMANJARO,ANNA MGWIRA RASMI AHAMIA CCM

hPosted by Esta Malibiche on DEC 8,2017  IN SIASA

PMO_2353

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mgwira baada ya kutangaza rasmi kuhamia Chama cha Mapinduzi, katika ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete, mjini Dodoma Desemba 8, 2017.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 maoni:

Chapisha Maoni