Jumanne, 5 Desemba 2017

ALBERT CHALAMILA AIBUKA KIDEDEA UENYEKITI MPYA WA CCM MKOA WA IRINGA, SALIM ABRI “ASAS” ACHUKUA UJUMBE WA TAIFA(NEC) KWA KISHINDO

Posted by Esta Malibiche on DEC 5,2017 IN SIASA

MS1
Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila akitoa hotuba yake ya kwanza kuwashukuru wapiga kura mara baada ya kushinda uchaguzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa leo akiwashinda kwa kupata kura 523 ambapo wapinzani wake wawili Bw. Evance Balama aliyepata kura 61 na Daniel akitepata kura 9.PICHA NA ESTA MALIBICHE
MS2
Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila akitoa hotuba yake ya kwanza kuwashukuru wapiga kura mara baada ya kushinda uchaguzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa katikati ni  Salim Abri ambaye amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC mkoa wa Iringa na kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi huo Bw. Januari Makamba.
AS
Bw. Salim Abri  Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC mkoa wa Iringa  katika uchaguzi huo akiwashukuru wapiga kura mara baada ya kutangazwa mshindi kwa kura 540, kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi huo Bw. Januari Makamba na kulia ni Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila
1
Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila na Bw. Salim Abri  Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC mkoa wa Iringa wakiwashukuru wana CCM mkoa wa Iringa kwa kuwaamini na kuwapa ridhaa ya kukiongoza chama hicho.
2
Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila na Bw. Salim Abri  Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC mkoa wa Iringa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutangazwa washindi katika uchaguzi huo.
3
Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila na Bw. Salim Abri  Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC mkoa wa Iringa wakiwa wakii.furahi paoja na wapiga kura mara baada ya kutangazwa washind
45 
KU1
Wapiga kura wakiendelea na upigaji wa kura wakati wa uchaguzi huo.
KU2

0 maoni:

Chapisha Maoni