Jumapili, 10 Desemba 2017

MWENYEKITI WA CCM DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA 9 WA UVCCM MKOANI DODOMA

Posted by Esta Malibiche on DEC 10,2017 IN SIASA

1
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais Wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM taifa  Ndugu Mboni Mhita katika Mkutano Mkuu wa 9 wa Umoja wa Vijana UVCCM unaofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango  mjini Dodoma, wa tatu kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein , Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Hamidu Shaka.
2
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais Wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM taifa  Ndugu Mboni Mhita katika Mkutano Mkuu wa 9 wa Umoja wa Vijana UVCCM unaofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango  mjini Dodoma, wa tatu kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein
3
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais Wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM taifa  Ndugu Mboni Mhita katika Mkutano Mkuu wa 9 wa Umoja wa Vijana UVCCM unaofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango  mjini Dodoma, wa tatu kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
4
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais Wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wajumbe wa  Mkutano Mkuu wa 9 wa Umoja wa Vijana UVCCM unaofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango  mjini Dodoma, na kulia Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM.
05
Naibu Katibu Mkuu wa UVCM Taifa Ndugu Hamidu Shaka akisoma taarifa ya miaka mitano kwa kwenye mkutano wa 9 wa Umoja wa Vijana UVCCM unaofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.
5
Baadhi ya Picha zikionyesha wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 9 wa UVCCM unaofanyika kwenye chuo cha Mipango mjini Dodoma.
78
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
9
Mwanamuziki wa bendi ya TOT Khadija Kopa kulia na waimbaji wakundi hilo wakitumbuiza katika mkutano huo.
10
12

0 maoni:

Chapisha Maoni