Jumatatu, 11 Desemba 2017

KIWANDA CHA SARUJI TANGA (SIMBA CEMENT) YATOA MIFUKO 760 KUCHANGIA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA MSINGI PONGWE JIJINI TANGA

Posted by Esta Malibiche on DEC 12,2017 IN NEWS

 Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias
Mwilapwa akipanga tofali kwenye msingi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya
madarasa katika shule ya msingi ya wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi
(Albino)  na wasioona ya Pongwe Jijini Tanga ambapo Kampuni ya Simba
Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba
hivyo
 Mkurugenzi  Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kulia akijenga tofati katika vyumba vipya
vitatu vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya

ya wanafunzi wenye ulemavu wa
ngozi (Albino) na wasioona  ya Pongwe Jijini Tanga ambapo Kampuni ya
Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba
hivyo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa
 Mkurugenzi  Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kulia akiweka  tofati katika vyumba vipya
vitatu vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya

ya
wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na wasioona ya Pongwe
Jijini Tanga ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias
Mwilapwa

 Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kulia akiweka sawa tofati katika msingi wa moja
ya vyumba vipya vitatu vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya
ya
wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na wasioona ya Pongwe
Jijini Tanga ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
 Mkurugenzi  Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kulia akimuelekeza jambo mmoja wa wakandarasi
watakaojenga vyumba vitatu vya madarasa katika shule
y
a
wanafunzi wenye maahitaji maalumu ikiwemo wasiona na wenye ulemavu wa
ngozi (Albino) ya Pongwe Jijini Tanga ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo

 Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kulia akiweka sawa tofati katika msingi wa moja
ya vyumba vipya vitatu vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya
ya
wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) ya Pongwe Jijini Tanga ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
 Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias
Mwilapwa akizungumza katika halfa hiyo iliyofanyika leo kwenye shule ya
Msingi Pongwe Jijini Tanga
Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart akizungumza na waandishi wa habari mara baada
ya uzinduzi huo leo
 Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Pongwe Yahaya
Mafita mara baada ya kutoa hotuba fupi katika uzinduzi huo leo
ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo ambapo aliishukuru kampuni hiyo kwa kuthamini juhudi
za kuinua elimu
 Diwani wa Kata ya
Pongwe(CCM),Mbaraka Sadi akizungumza katika uzinduzi huo
ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
Afisa Uhusiano wa
Simba Cement Noor Mtanga akizungumza katika uzinduzi huo leo
kwenye shule ya Msingi Pongwe 
ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
 Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kushoto akipongezwa na Mwalimu Mkuu wa shule ya
Msingi Pongwe Yahaya Mafita mara baada ya kutoa hotuba fupi katika
uzinduzi huo leo  
ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart katikati akifuatilia uzinduzi wa ujenzi wa
vyumba vya madarasa kwenye shule hiyo uliofanywa leo na Mkuu wa wilaya
ya Tanga,Thobias Mwilapwa kushoto ni
Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor
Mtanga
Habari kwa
Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

0 maoni:

Chapisha Maoni