Kwa Habari za kitaifa na kimataifa

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za michezo na burudani

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za afya

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za Kilimo

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za uchumi na biashara

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za elimu

Tembelea Kali ya habari

Jumamosi, 30 Desemba 2017

MKUU WA WILAYA YA NACHINGWEA RUKIA MUWANGO AWATAKA WANANCHI KUZITUMIA FEDHA ZA KOROSHO KWA UANGALIFU

Poated by Esta Malibiche on DEC 30. 2017 IN NEWS Mkuu wa wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi Mh.Rukia Muwango akizungumza na wananchi wa kijiji cha Ruponda mapema leo hii katika zoezi la usafi wa Mazingira   MKUU wa Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi Rukia Muwango amewataka wananchi kuwa makini na matumizi ya fedha za korosho ili ziweze kuwasaidia katika kuboresha maisha yao pamoja na kusomesha watoto. Kauli hiyo ameitoa mapema leo hii...

Ijumaa, 29 Desemba 2017

MAVUNDE AWAHAKIKISHIA WAFANYABIASHARA WADOGO WADOGO SOKO LA MBOGA MBOGA KIKUYU KUSINI -DODOMA*

Posted by Esta Malibiche on DEC 29,2917 IN NEWS Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde amewahakikishia wafanyabiashara wadogo wadogo wa stendi ya mabasi ya vijijini katika eneo la Kikuyu Kusini juu ya ujenzi wa soko kwa ajili ya matunda na mboga mboga na kuondokana na adha ya kufanya biashara katika maeneo ambayo siyo rasmi. Mavunde ameyasema hayo wakati akijibu kero za wafanyabiashara hao alipotembelea stendi ya mabasi hiyo eneo la Kikuyu Kusini na kuwahakikishia wafanyabiashara hao juu ya ujenzi na ukamilishaji wa soko ambalo litagharimu...

JAFO AWASHUKIA TBA KWA KUKWAMISHA MIRADI

Posted by Esta Malibiche on DEC 28,2017 IN NEWS    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akikagua ujenzi wa majengo mbalimbali wilaya ya Ikungi  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo(Mbele kulia) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe. Miraji Mtaturu akifuatiwa na Mbunge wa Singida Magharibi Mhe. Elibariki Kingu wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa miundombinu ya wilaya hiyo.  Waziri...

Alhamisi, 28 Desemba 2017

WAZIRI WA TAMISEMI SELEMANI JAFO APONGEZA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA AFYA IKUNGI

Posted by Esta Malibiche on DEC 29,2017 IN NEWS  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo(katikati) akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe. Miraji Mtaturu(Pili Kulia) wakati alipofanya ziara ya Kikazi katika Halmashauri hiyo mapema leo.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akisaini Kitabu cha wageni katika Kituo cha Ihanje wakati wa ziara yake Wilayani Ikungi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,TAMISEMI...

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA ZAHANATI MIBURE

Posted by Esta Malibiche on DEC 29,2017 IN KITAIFA Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea, kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka ambapo aliamua kukagua miradi ya maendeleo jimboni kwake wilayani Ruangwa, mkoani Lindi, Desemba 28, 2017. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mwananchi wa kijiji cha Mibure, Mzee Menrad Kilian, baada...

MAVUNDE AWATAKA POLISI JAMII KUUNDA VIKUNDI VYA UZALISHAJI MALI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Posted by Esta Malibiche on Dec 28,2017 Naibu Waziri wa Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu( Kazi,Vijana na Ajira) Mh Anthony Mavunde amewataka Vijana ambao wanashiriki katika mafunzo ya Ulinzi shirikishi kupitia Polisi Jamii kuunda vikundi vya uzalishaji mali ili kujikwamua kiuchumi na kuongeza kipato. Mavunde ameyasema hayo leo wakati akifunga mafunzo ya Ulinzi shirikishi yaliyoshirikisha Vijana 75 katika kata ya Mtumba,Manispaa ya Dodoma. “Pamoja na jukumu kubwa mlilonalo na ulinzi na usalama wa raia na mali zao,lakini pia mhakikishe mnatumia mkusanyiko...

Jumamosi, 23 Desemba 2017

*MAVUNDE KUENDESHA OPARESHENI MAALUM YA KUKAGUA WAAJIRI AMBAO HAWAJATEKELEZA AGIZO LA WAZIRI MHAGAMA LA KUJIUNGA NA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI(WCF) NCHINI*

Posted by Esta Malibiche on DEC 23,2017 IN NEWS  NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana na Ajira) Mh Anthony Mavunde ameendelea kukazia maagizo ya Mh Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mh Jennister Mhagama aliyoyatoa kuwataka waajiri wote wawe wamejisajili katika mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi(WCF) kwa kubainisha kwamba kwasasa inaendelea operesheni maalum ya kuhakikisha maagizo hayo ya waajiri kujisajili katika mfuko wa...