Posted by Esta Malibiche on march 23,2017 inNEWS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Leo amekutana na kufanya
mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Standard Chartered Kanda ya Afrika na
Mashariki ya Kati Bw. Sunil Kaushal pamoja na ujumbe wake uliomtembelea
ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi
Mkuu wa Standard Chartered Kanda ya Afrika na Mashariki ya Kati Bw.
Sunil Kaushal ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais)
0 maoni:
Chapisha Maoni